Africa
-

Kiongozi wa chama tawala cha zamani cha Burkina Faso akamatwa: mawakili
Kiongozi wa chama tawala cha zamani nchini Burkina Faso alikamatwa siku ya Jumapili baada ya kukosoa hali ambayo rais wa zamani Roch Marc Christian Kabore amewekwa na serikali tawala
-

RAILA ODINGA: A POLITICAL CAREER & A LIFETIME DREAM
It is believed that prior to this, Raila and Mwai Kibaki had signed a memorandum of understanding (MOU) in which Kibaki was to appoint Raila as Prime Minister
-

Vifo vitokanavyo na TB vyapungua Tanzania
Watu 26,800 wamefariki kwa ugonjwa wa kifua kikuu nchini Tanzania katika kipindi cha mwaka 2021, ambapo ni sawa na vifo 78 kila siku.
-

Ummy:Maambukizi mengine ya TB yanapatikana kwenye mabweni
Amesema kumekuwa na mlundikano mkubwa wa wanafunzi katika shule za bweni ambao unaweza kusababisha athari za kiafya kwa wanafunzi.
-

Mrema aoa kwa mahari ya milioni 4, alipa milioni 1
Mzee Mrema amefunga ndoa na mwanadada huyo ikiwa ni takribani miezi sita tangu mke wake afariki dunia.
-

Korea Kaskazini yarusha Kombora kwa majaribio
Hatua hiyo imetajwa kuwa huenda inaongeza juhudi zake za kufanya majaribio ya makombora yake ambayo yanaweza kufuatiwa na hatua ya kurushwa kwa kombora lenye uwezo wa kuvuka mabara.
-

Rais wa Marekani adhamiria kuongeza msukumo wa kuiwekea vikwazo zaidi Urusi
Rais wa Marekani Joe Biden na viongozi wengine wakuu wa nchi na serikali kutoka kambi ya nchi za Magharibi wanakutana hii leo kujadili namna ya kuongeza shinikizo dhidi ya Rais Vladmir Putin wa Urusi.
-

Daraja la Tanzanite kuwekwa alama ya Madini ya Tanzanite kuonyesha uhalisia
Daraja hilo lilianza kutumiwa Februari 1 mwaka huu ambapo liliwekewa alama ya Mwenge wa Uhuru katika moja ya nguzo zake ili kutambua tunu hiyo muhimu katika maendeleo ya Tanzania.
-

Waziri Mkuu wa Australia atahadharisha ushiriki wa Rais Putin kwenye mkutano wa G20
Amesema tayari Marekani iko katika mwelekeo wa kuutaja uvamizi wa Ukraine kuwa uhalifu wa kivita.
-

Polisi wakamata Jezi feki za klabu ya Simba
Kaimu Kàmanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Yahaya Mdogo amesema wamekamata jumla ya jezi 446 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 15.6.







