Africa
-

Wahamiaji haramu 77 wakamatwa
Kati ya wahamiaji hao, wiki iliyopita walikamatwa 24 na wameshaondoshwa, leo wamekamatwa 24 mjini Geita, Chato wamekamatwa 15 na Bukombe wahamiaji 14 na wapo katika utaratibu wa kuwaondosha.
-

RPC aliyetamani U-IGP nchini Tanzania apelekwa makao makuu ya jeshi hilo kupisha uchunguzi
Mabadiliko hayo yamefanyika leo, ambapo nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), William Mwampagale
-

Wakuu wa EAC kujadili ripoti ya uanachama wa DRC
Kwa mujibu wa taarifa ya Sekretarieti ya EAC, Mkutano huo umetanguliwa na Mkutano Maalumu wa 48 wa Baraza la Mawaziri wa EAC, uliofanyika Ijumaa Machi 25, 2022 kujadili ajenda na programu ya Mkutano wa 19…
-

Vikongwe watatu wauawa kwa imani za kishirikina.
Kamanda wa Polisi mkoani Singida , Kamishna Msaidizi Stella Mutabihirwa aliwaambia waandishi wa habari kuwa tukio hilo limetokea Machi 27, mwaka huu majira ya saa 11.00 jioni.
-

Watoto 10 walawitiwa na kubakwa katika kipindi cha miezi mitatu mkoani Shinyanga.
Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia ya kike na walikutwa na mkasa huo baada ya kuagizwa na wazazi wao dukani nyakati za usiku.
-

CUF wapinga suala la Katiba Mpya kushughulikiwa baada ya uchaguzi wa 2025
Baraza hilo linasikitishwa na hatua zilizochukuliwa na kikosi kazi hicho, na kwamba ni vyema serikali na wadau wote wajue CUF na wajumbe wote wa mkutano huo walitamani katiba mpya ipatikane haraka.
-

Watu wenye silaha washambulia treni ya abiria kaskazini magharibi mwa Nigeria
Hili lilikuwa ni shambulizi la hivi punde zaidi lililohusishwa na magenge ya wahalifu wenye silaha, ambao wanalaumiwa kwa kuongezeka kwa ghasia na utekaji nyara mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-

Apandishwa kizimbani kwa kumdhalilisha mwanafuzi wa darasa la pili.
Mzee huyo anadaiwa kumvua nguo kisha kumwingizia kidole sehemu za siri binti wa darasa la pili mjini Igunga
-

Will Smith ampiga kofi Chris Rock kwa kumtania mkewe kwenye Jukwaa la Oscar
Baada ya kupigwa, Rock alibaki jukwaani amepigwa butwaa kwa sekunde kadhaa, kisha akasema usiku huo ulikuwa ni mkubwa sana kwenye historia ya televisheni.
-

Mashambulizi mawili nchini Somalia yaua watu 48 kabla siku ya uchaguzi
Taifa hilo la Pembe ya Afrika limeshuhudia mashambulizi mengi katika wiki za hivi karibuni huku likipitia mchakato wa uchaguzi uliochelewa kwa muda mrefu.







