Africa
-

Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya janga la UVIKO 19 bado halijaisha, anakashifu ukosefu wa usawa wa chanjo
“Kushindwa kwa usambazaji sawa wa chanjo ni matokeo ya moja kwa moja ya maamuzi ya kisera na kibajeti ambayo yanatanguliza afya ya watu katika nchi tajiri kuliko afya ya watu wa nchi maskini,”alisema Guterres.
-

Rufaa ya Raia wa Poland yagonga ukuta Mahakama Kuu Tanzania
Nakala ya Hukumu ya rufaa hiyo imepatikana leo 2022,ambayo imetolewa na Jaji Safina Simfukwe wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, ambaye alizitupa sababu 10 za rufaa za wafungwa hao waliokuwa wakitetewa na wakili Median Mwale.
-

Kiongozi mkuu wa upinzani Sudan akamatwa kwenye maandamano
Takriban watu 85 wameuawa na mamia kujeruhiwa na vikosi vya usalama wakati wa miezi minne ya maandamano ya kudai utawala wa kiraia na haki
-

Ujenzi wa reli ya kisasa Dar hadi Mwanza kugharimu zaidi ya Trilioni 25
Zaidi ya shilingi Trilioni 25 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vya Dar es Salaam Kigoma na Dar es Salaam pamoja Mwanza
-

Amuua mpenzi wake kisa wivu wa mapezi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simoni Maigwa amesema tukio hilo limetokea Februari 24, 2022
-

Hotuba ya “never and never again” ilivyosababisha Mbowe kupewa kesi ya ugaidi
Mbowe ametoa madai hayo jana mkoani Iringa alipokuwa akizungumza katika kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, lililoandaliwa na Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA).
-

Mkuu wa Upinzani Sudan akamatwa kwenye maandamano
Sudan yamkamata kiongozi mkuu wa upinzani huku kukiwa na ukandamizaji wa waandamanaji Vikosi vya usalama vya Sudan vilimkamata kiongozi mkuu wa upinzani Jumanne, huku maafisa wakifyatua gesi ya kutoa machozi kuwazuia maelfu ya waandamanaji waliokuwa…
-

Askofu Bagonza:Katiba Mpya ni msaada kwa watawala
Askofu Bagonza ameyasema hayo leo kwenye sherehe ya wanawake wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chama cha CHADEMA, ambapo waliungana na wanawake wengine duniani katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo…
-

Watu watano wafariki baada ya jengo kuporomoka
Jengo hilo la orofa nne liliporomoka usiku wa Jumapili katika wilaya ya Angre, ambako kumeshuhudiwa ujenzi wa majumba mengi ya biashara na makazi katika miaka ya hivi karibuni.
-

Ijue historia ya siku ya wanawake duniani.
Siku ya wanawake duniani hujulikana pia kama IWD kwa ufupi, ilikua inatokana na vuguvugu la wafanyakazi na kuwa tukio la kila mwaka linalotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN).







