Africa
-

Mwanaume akamatwa kwa kumuua mwanae wa miezi 4
Mtoto huyo mchanga, ambaye mshukiwa anadai si mwanawe wa kumzaa, alifariki baada ya kuanguka sakafuni.
-

Tanzania: Watu 3,147 waliugua corona mwaka jana
Kati ya watu hao 2990 walikuwa hawajachanja chanjo ya ugonjwa huo.
-

Dhoruba kali yawaua watu 39 huko Madagascar na Msumbiji
Ripoti ya shirika la kudhibiti majanga nchini Madagascar ilionyesha kuwa watu 39 wamefariki na karibu 65,000 wameachwa bila makao
-

Wanajeshi wa Burkina Faso wakosolewa na mataifa mengine lakini waungwa mkono nchini mwao
Mamia ya watu walikusanyika katika uwanja wa Nation Square kusheherekea kung’olewa madarakani kwa Rais Kabore
-

Locusts to hit East Africa again -FAO warns
“If any swarms reach the Kenya/Ethiopia border, easterly and south-easterly winds are likely to carry them towards the Rift Valley in northern Kenya and southern Ethiopia, preventing movement further south into central Kenya,” said FAO.
-

Rais wa Malawi avunja baraza lake la mawaziri
Baraza la mawaziri lilivunjwa baada ya mazungumzo ya simu ya mkuu wa kupambana na ufisadi kuvuja na kusambaa mitandaoni
-

Aliyemuaa mwanamke mmoja Guest apatikana
Adai alipewa shilingi milioni 1,700,000, kutekeleza mauaji hayo kisa wivu wa mapenzi.
-

Mali inaitaka Denmark kuwaondoa wanajeshi wake kutoka nchini humo mara moja
Serikali ya jeshi ilisema katika taarifa kwamba “wanajeshi hao walitumwa nchini humo bila idhini.”
-

AFCON: Msongamano uwanjani wasababisha vifo vya watu wanane
Wanawake wawili wa miaka thelathini, wanaume wanne wenye umri wa miaka thelathini, mtoto mmoja, waliuawawa katika msongamano huo








