Africa
-

Fahamu wafungwa wengine waliofaulu kutoroka kutoka magereza yenye ulinzi mkali zaidi duniani
Watuhumiwa watatu wa ugaidi Musharaf Abdalla almaarufu Alex Shikanda, Joseph Juma Odhiambo, na Mohammed Ali Abikar walitoroka kutoka gereza la Kamiti mnamo Jumatatu, Novemba 15. Wafungwa hao watatu wa ugaidi, ambao siku ya Jumapili walitoroka…
-

Marais japo kwa muda: Kamala Harris na William Ruto
Rais Uhuru Kenyatta alitumia katiba kumteua Naibu Rais William Ruto kaimu rais kwa muda wa siku tatu alipokuwa The Hague Uholanzi.
-

Teodoro Obiang Nguema Mbasogo: Rais ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miongo minne
Mnamo Julai 2003, redio inayoendeshwa na serikali ilimtangaza Obiang “mungu wa nchi” mwenye “nguvu zote juu ya wanadamu na vitu.”
-

Kenya tightens security measures following recent escape of three terror convicts
The heightened measures follow twin suicide bombings in neighboring Uganda on Tuesday.
-

Uganda police shoot dead five suspects in connection to recent suicide bombings
Twin suicide explosions killed four people on Tuesday in Uganda.
-

Over two million people facing severe drought in Somalia
Somalia’s ministry of humanitarian affairs and disaster management is warning that families could starve to death.
-

P Square: Nyota wa mtindo wa Afrobeats waungana tena
Inasemekana kuwa chanzo cha kusambaratika ni malalamiko kutoka kwa Peter kutaka mabadiliko katika uongozi kwa madai kuwa kundi lilionekana la kifamilia zaidi kuliko kibiashara
-

Police fire teargas at protesters in Sudan as 15 people are reported dead
At least 39 people reported dead since the October 25 coup according to medics.
-

Three terror convicts who escaped from Prison in Kenya arrested in remote village
The three are believed to have been heading to Somalia.
-

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awataja magaidi waliohusika katika milipuko Kampala
Mlipuaji wa kujitoa mhanga aliyejilipua katika makao makuu ya polisi ametambuliwa kama Mansoor Uthman,aliyejilipua barabara ya Parliamentary ametambuliwa kama Wanjusi abdallah.







