Africa
-

Kirusi kipya cha UVIKO 19 chagunduliwa Afrika Kusini
Kirusi hicho kwa jina la kisayansi B.1.1.529 kimegunduliwa pia nchini Botswana na Hong Kong miongoni mwa wasafiri kutoka Afrika Kusini.
-

DR Congo given green light to join EAC
The Democratic Republic of Congo has been granted the green light by the Council of Ministers to join the East African Community (EAC).
-

EAC ministers call for slashing of EALA members
Regional ministers have proposed reducing the number of East African Legislative Assembly (EALA) members elected from each partner state from nine to five,
-

Tanzania to allow students to attend school after giving birth
Government reverses controversial 2017 policy instituted by the country’s late leader, John Magufuli.
-

Rais wa zamani wa DR Congo, Joseph Kabila atuhumiwa kwa ubadhirifu wa pesa.
Joseph Kabila na familia yake wanatuhumiwa kunyakua $138 milioni za serikali.
-

Somalia: Mlipuko wa bomu mjini Mogadishu wasababisha maafa na uharibifu
Watu watano wameuawa na wengine zaidi kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye gari mjini Mogadishu siku ya Alhamisi,
-
Tanzania: Wanafunzi waliopata ujauzito ruksa kurudi shule
Kwa mujibu wa Waziri Ndalichako wanafunzi watakaotaka kurejea shule wataruhusiwa kufanya hivyo ndani ya miaka miwili baada ya kuwa nje ya mfumo rasmi
-

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekwenda kwenye mstari wa mbele kuongoza vita dhidi ya wapiganaji wa Tigray.
Wanariadha Haile Gebrselassie na Feyisa Lilesa wamesema wako tayari kwenda mstari wa mbele katika vita dhidi ya vikosi vya waasi.
-

Wagombea 98 wajiandikisha kuwania kiti cha urais Libya
Zaidi ya watu milioni 2.8 kati ya watu milioni saba wa Libya wamejiandikisha kupiga kura.
-
Bondia Mike Tyson ateuliwa na Malawi kuwa balozi wake wa bangi
Wizara ya kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa ndondi duniani Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wake maalum wa bangi maarufu Malawi Gold. Waziri wa Kilimo Lobin Lowe alisema kuhalalishwa kwa bangi mnamo 2020 kumeunda…







