Serikali:Wananchi chukueni tahadhari kujikinga na magonjwa na mfumo wa hewa
Mganga mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Prof. Tumaini Nagu amewata wananchi kuzingatia kanuni za afya kwa kuzingatia usafi na kupata chanjo ya UVIKO 19 kwa ukamilifu ili kujikinga na magonjwa ya njia ya hewa ikiwemo mafua, kikohozi, kupumua kwa shida, kuwashwa koo, homa na kuumwa kichwa.