Mwili wa Mwanzilishi wa Precision Air kuzikwa leo
Mzee Ngaleku alifariki usiku wa Juni 9, mwaka huu katika Hospitali ya Aghakan, Dar es salama alikokuwa amelezwa Juni 8
Mzee Ngaleku alifariki usiku wa Juni 9, mwaka huu katika Hospitali ya Aghakan, Dar es salama alikokuwa amelezwa Juni 8
Serikali imewataka Wabunge kutoa maoni endapo kuna haja ya kurekebisha Kanuni za Utumishi wa Umma kuhusu likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti ili wapate muda wa kutosha wa kulea watoto hao wanaohitaji uangalizi wa karibu.
Mkurugenzi wa tume hiyo bwana Ramadhani Kailima ametoa taarifa hiyo leo na kwamba uchaguzi huo unafanyika baada ya kupokea taarifa kutoka kwa waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa.
Mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan na makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo, wamekuwa kwenye vita tangu Aprili 15 baada ya kutofautiana katika mzozo wa madaraka
Leila ambaye atazikwa leo katika makaburi ya Sharif Haidari na swala itafanyika katika msikiti mkuu wa Ijumaa jijini Tanga.aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji na miongoni mwa waanzilishi wa Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania, TAMWA, kuanzia mwaka 1996 hadi 2001.
Multiple truces have been agreed and broken, with US and Saudi mediators warning on Saturday that they may break off mediation efforts if a 24-hour ceasefire was not respected
Only 10 minutes after it ended at 6:00 am (0400 GMT) on Sunday, the city was rocked again by shelling and clashes
Trump faces 37 separate counts in the indictment including 31 counts of “willful retention of national defense information,” which carries up to 10 years in prison on each count.
Rais alisema atapimwa tena baada ya siku mbili zaidi
Should the parties fail to observe the 24-hour ceasefire, facilitators will be compelled to consider adjourning” talks in the Saudi city of Jeddah which have been suspended since late last month