Tanzanian Activist & Lawyer Boniface Mwabukusi Wins Appeal, to Run for TLS Presidency
In an exciting turn of events, Boniface Mwabukusi, a prominent Tanzanian lawyer and activist, has won his appeal against the…
In an exciting turn of events, Boniface Mwabukusi, a prominent Tanzanian lawyer and activist, has won his appeal against the…
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface…
Mawakili tisa wanaomwakilisha kada wa Chadema, Kombo Mbwana wamefungua kesi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Camilius Wambura na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, wakiomba mteja wao aachiliwe huru na alipwe fidia.
Mahakama kuu nchini ya Bangladesh siku ya Jumapili imeondoa sheria yenye utata kwenye mfumo wa utaoji ajira za serikali, ukiwa…
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya kesi namba 19759/2024, Kombo ameshtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni pamoja na kushindwa kutoa taarifa za kutosha za akaunti ya kadi yake ya simu, kinyume cha kifungu 126 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta.
Mshukiwa mkuu wa mauaji na kutupa miili katika eneo la taka la Kware huko Embakasi Nairobi amezuiliwa kwa siku 30…
Kenyan police said they have launched an investigation after the mutilated bodies of six women were found on Friday in…
Kenya’s police chief has quit following criticism over dozens of deaths during anti-government protests, the latest head to roll as…
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Steven Kitale amefungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi…
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma, Musa Abdallah kwa tuhuma za kumn’goa meno matatu mke wake kwa kutumia Praizi kwa kile kilichoelezwa ni ugomvi wa Sh. 200.