• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Category: Crime & Justice

Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Kuendelea Baada Ya Uchaguzi Mkuu
Africa Crime & Justice East Africa Politics

Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Kuendelea Baada Ya Uchaguzi Mkuu

Wadh KassimOctober 24, 2025October 25, 2025

Kwa upande wake, Wakili wa Serikali Renatus Mkude alisisitiza kuwa ombi la kuahirisha shauri hilo linafuata misingi ya kisheria, akibainisha kuwa Jamhuri bado inaendelea na maandalizi ya ushahidi wake.

Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu
Crime & Justice East Africa Politics Tanzania

Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu

Asia GambaOctober 23, 2025October 24, 2025

Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Renatus Mkude ulisema baada ya kumaliza ushahidi wa shahidi huyo, unakwenda kutafakari maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu juu ya mapingamizi mawili ambayo yaliletwa na mshtakiwa kuhusiana na vielelezo ambavyo Mahakama imevikataa.

Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini
Crime & Justice East Africa Tanzania

Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini

Asia GambaOctober 23, 2025October 24, 2025

Katika pingamizi hilo, Lissu alipinga uwasilishaji wa taarifa hiyo akieleza kuwa shahidi, Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya hana mamlaka ya kisheria ya kuandaa “report” bali “certificate” pekee ya uchunguzi, kwa mujibu wa tangazo la serikali linalomtambua chini ya kifungu cha 216(1) cha Sheria ya Ushahidi.

Balaa! Lissu Aibua Pingamizi Jipya
Africa Crime & Justice East Africa Rights & Freedoms Tanzania

Balaa! Lissu Aibua Pingamizi Jipya

Wadh KassimOctober 22, 2025

Pingamizi hilo limewasilishwa muda mfupi baada ya Mahakama kutoa uamuzi wa pingamizi la awali, ambapo Lissu alipinga upokelewaji wa vielelezo vya video vilivyohifadhiwa katika Flash Disk na Memory Card.

Mahakama Yakubali Pingamizi La Lissu, Yakataa Kupokea Vielelezo Vya Ushahidi
Crime & Justice East Africa Rights & Freedoms Tanzania

Mahakama Yakubali Pingamizi La Lissu, Yakataa Kupokea Vielelezo Vya Ushahidi

Wadh KassimOctober 22, 2025

Uamuzi huo umetolewa leo na  Jaji Dustan Nduguru ambaye anaongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza shauri hilo, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikiendelea kusikilizwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi kuhusu mapokezi ya vielelezo hivyo.

Ghanaian Police Probe ‘Suspicious’ Death of Senegalese Footballer
Africa Crime & Justice Football Sports

Ghanaian Police Probe ‘Suspicious’ Death of Senegalese Footballer

Wadh KassimOctober 21, 2025October 21, 2025

A man who identified himself as Issah and claimed to be the victim’s brother “brought the deceased to the hospital in a critical condition, with several abdominal injuries, alleging that the victim had been involved in an accident,” the police statement said.

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi La Jamhuri Katika Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu
Crime & Justice Tanzania

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi La Jamhuri Katika Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu

Wadh KassimOctober 13, 2025

Mawakili wa Jamhuri walidai kuwa mshtakiwa hakufuata taratibu za kisheria katika kuwasilisha ombi hilo la kupokea kielelezo hicho kama ushahidi.

Kesi Ya Uhaini Ya Lissu- Shahidi: Kutoa Maudhui ya Uchochezi ni Uhaini
Africa Crime & Justice East Africa Tanzania

Kesi Ya Uhaini Ya Lissu- Shahidi: Kutoa Maudhui ya Uchochezi ni Uhaini

Asia GambaOctober 7, 2025October 7, 2025

Lissu: Waeleze majaji kwamba mtu anaetoa  maudhui ya Uchochezi ni kosa la Uhaini. Je maudhui yenye Uchochezi kwa umma ni kosa la Uhaini au sio

Shahidi :Ni kosa la Uhaini

ICC Finds Sudan Militia Chief Guilty of Crimes Against Humanity
Africa Crime & Justice International Rights & Freedoms Social Issues

ICC Finds Sudan Militia Chief Guilty of Crimes Against Humanity

Wadh KassimOctober 6, 2025

Prosecutors had accused Abd-Al-Rahman of being a leading member of Sudan’s infamous Janjaweed militia, who participated “enthusiastically” in multiple war crimes.

West Africans Deported by US to Ghana Dumped in Togo Without Papers
Africa Crime & Justice International

West Africans Deported by US to Ghana Dumped in Togo Without Papers

Wadh KassimSeptember 29, 2025

Eight to 10 west African nationals have since been forcibly sent by Ghana to Togo, bypassing a formal border crossing and left on the street without passports.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy