Crime & Justice

  • South Africa Extradites Six Nigerians Wanted in US Romance Scam

    South Africa Extradites Six Nigerians Wanted in US Romance Scam

    The men are alleged to be members an organised criminal network called Black Axe and are wanted by US authorities on charges including wire fraud and money laundering, South Africa’s elite police unit Hawks said…

  • IGP Wambura, DCI Kingai, CDF Mkunda Kuja Kutoa Utetezi Dhidi ya Lissu

    IGP Wambura, DCI Kingai, CDF Mkunda Kuja Kutoa Utetezi Dhidi ya Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, la kuwaita Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai DCI Ramadhani Kingai na…

  • Heche Asimulia Matukio Ya Utekaji, Kesi Za Kisiasa Na Shambulio La Lissu

    Heche Asimulia Matukio Ya Utekaji, Kesi Za Kisiasa Na Shambulio La Lissu

    Shahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, John Heche, ameieleza Mahakama matukio mbalimbali ya mauaji, utekaji na kupotezwa kwa watu nchini, akitaja viongozi na wanachama wa vyama…

  • Heche Aeleza Mauaji, Vurugu za Uchaguzi Katika Utetezi wa Lissu

    Heche Aeleza Mauaji, Vurugu za Uchaguzi Katika Utetezi wa Lissu

    Heche alisema Kamati Kuu ya CHADEMA ilikutana Desemba 3, 2024 chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe na kujadili matukio hayo, kabla ya chama kuchukua msimamo wa kutaka mageuzi ya kikatiba na kisheria yafanyike kabla ya…

  • Shahidi wa Nne, Brenda Rupia, Amaliza Kumtetea Lissu

    Shahidi wa Nne, Brenda Rupia, Amaliza Kumtetea Lissu

    Rupia pia alikiri kuwa CHADEMA inaamini katika demokrasia na kwamba Tanzania ina mfumo wa vyama vingi, huku akitambua kuwa uchaguzi mkuu unaendeshwa kwa mujibu wa Katiba na mabadiliko ya Katiba ni mchakato.

  • Shahidi: Nitaendelea Kuunga Mkono Kauli za Lissu za Aprili 3,2025

    Shahidi: Nitaendelea Kuunga Mkono Kauli za Lissu za Aprili 3,2025

    Brenda pia alikataa kwamba Chadema ilisusia uchaguzi wa mwaka 2025, akieleza kuwa kauli ya “No Reforms, No Elections” ililenga kushinikiza mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.

  • Shahidi : Sioni ia ya Lissu Kuitishia Serikali Katika Hotuba

    Shahidi : Sioni ia ya Lissu Kuitishia Serikali Katika Hotuba

    Brenda amedai kuwa katika maneno hayo hakuna yaliyotaja Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri, Naibu Waziri, Mkuu wa Mkoa au kiongozi mwingine wa Serikali.

  • Shahidi: Lissu Hakuandaa Mkutano wa Aprili 3

    Shahidi: Lissu Hakuandaa Mkutano wa Aprili 3

    Rupia alisema uamuzi wa kuitisha mkutano huo ulifanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, pamoja na Sekretarieti ya chama. Alifafanua kuwa Sekretarieti ni chombo cha utekelezaji kinachoshughulikia shughuli za chama kila siku, kikijumuisha Katibu…

  • Golugwa Amaliza Kutoa Ushahidi, Akataa Baadhi ya Hoja za Jamhuri Kuhusu Kauli za Lissu

    Golugwa Amaliza Kutoa Ushahidi, Akataa Baadhi ya Hoja za Jamhuri Kuhusu Kauli za Lissu

    Golugwa alipinga hoja kwamba vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 zilisababishwa na kauli za Lissu. Alisema si kweli, akieleza kuwa chama kilizuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa na kwamba hotuba ya Lissu…

  • Jamhuri Yamuhoji Golugwa Kuhusu Madai ya Uchaguzi

    Jamhuri Yamuhoji Golugwa Kuhusu Madai ya Uchaguzi

    Golugwa amekiri kuwa katika taarifa hizo kulikuwa na msimamo wa Chadema wa kutoshiriki uchaguzi hadi Serikali itakaposhinikizwa kufanya mabadiliko. Alipoulizwa ni nani aliyepaswa kushinikizwa, alijibu kuwa ni Serikali.