East Africa
-

Chadema wapinga wananchi wa Ngorongoro kuondolewa kwenye ardhi yao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimepinga amri ya Serikali iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024, ambapo kwa mujibu wa chapisho hilo imewaondoa wananchi wote wa Tarafa ya Ngorongoro kwenye…
-

Washukiwa ‘Waliotumwa na Afande’ Kulawiti na Kubaka msichana wafikishwa Kortini
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili. Watuhumiwa wanakabiliwa na kesi ya kubaka…
-

ODM yapinga madai Raila Odinga amejiunga na Serikali ya Rais William Ruto
Chama cha ODM kimesitisha kimya chake na kumtetea kiongozi wake Raila Odinga dhidi ya madai kwamba amekiongoza chama hicho kujiunga na serikali. Viongozi wanne wa ODM siku chache zilizopita waliteuliwa kuwa mawaziri katika serikali ya…
-

KQ Returns to Profit After 10 Years
For the first time in more than ten years, Kenya Airways is once again profitable after being bolstered by the state’s restructuring of its debts and decreased susceptibility to changes in foreign exchange. The airline…
-

Dodoma Police Commander Transferred After Controversial Remarks About Rape Victim
The transfer comes shortly after her controversial comments regarding a gang rape case, where she referred to the victim as a “sex worker.”
-

Kesi ya binti aliyebakwa yamng’oa RPC Dodoma, ni baada ya kudai aliyebakwa ni kama “Kahaba”
Uhamisho wa RPC Mallya umekuja saa chache baada ya kauli yake juu ya binti aleyebakwa na kulawitiwa na vijana watano wanaodaiwa kutumwa na afande kufanya tukio hilo.
-

MAGARI YA WATALII YAKWAMA NGORONGORO KUFUATIA MAANDAMANO YA WAMAASAI YANAYOENDELEA
Msururu wa magari ya watalii yameshuhuduwa kukwama kuendelea na safari zao kufuatia maandamano ya Wamaasai yanayoendelea katika eneo la Ngorongoro yaliyoanza mapema leo asubuhi.










