Mahakama ya juu Uganda yasimamisha kesi za raia katika mahakama ya kijeshi
Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imetaka kesi za raia katika mahakama ya kijeshi zisitishwe isipokuwa zile zinazohusisha masuala ya kinidhamu kwa maafisa wa kijeshi ambao bado wanahudumu.