Polisi:Nondo alitelekezwa kwenye ufukwe wa Coco
Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 na msemaji wake, David Misime imeeleza baada ya kutelekezwa katika fukwe hizo, aliomba msaada wa bodaboda kumfikisha katika ofisi za chama chake Magomeni, Dar es Salaam.