Afrika yaomboleza kifo cha Dkt Faustine Ndugulile, Mkurugenzi wa WHO, Afrika
Haikuthibika mapema Ndugulile alikuwa anaugua nini, japo taarifa zinasema alifariki alipokuwa akipokea matibabu nchini India, kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson.