East Africa
-

Simbachawene: Serikali ilitumia bilioni 17 kwa waathirka wa mabomu Mbagala
Simbachawene ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Mbagala, Abdalah Chaurembo aliyetaka kufahamu kauli ya serikali juu ya mapunjo ya fidia kwa wananchi walioathirika na mlipuko wa mabomu…
-

Dawa ya ganzi yatajwa kuwa chanzo cha vifo kwa wanawake kutokana na uzazi nchini Tanzania
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dkt Godwin Mollel ni kwamba wanawake 263 wamepoteza maisha kutokana na uzazi katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2021, huku miongoni mwa sababu zikielezwa kuwa ni…
-

Bei mafuta yaendelea kupungua nchini Tanzania
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana tarehe 1 Novemba 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Modestus Lumato, ilieleza kuwa bei hizo zitaanza kutumika leo tarehe 2 Novemba, 2022 saa 6.00 usiku, zimeshuka ikilinganishwa na bei…
-

Rais Samia aunda Kikosi Kazi cha kushughulikia Nishati Safi ya Kupikia
Rais Samia Suluhu ameshiriki katika Kongamano la Nishati safi iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati chini ya Waziri January Makamba.
-

Dida, one of Kenya’s last ‘Tusker’ elephants, dies at 65
In another part of the country, one Elephant has died today at noon while receiving Treatment, in Imenti Forest, Meru.
-

Shirika la Ndege la Uganda kuanza safari za kwenda Nigeria Desemba
Safari za ndege kwenda Lagos zitaanza kabla ya mwisho wa Desemba wakati safari za ndege kwenda Abuja zitaanza mwaka 2023
-

TANZANIA: Idadi ya watu imepanuka na kufikia milioni 16 katika muongo mmoja- Rais Samia
Jumla ya watu wote Tanzania ni 61,741,120 kati ya hao watu 59,851,357 wapo Tanzania bara na watu 1,889,773 wapo Zanzibar
-

Ebola Uganda: Serikali yapiga marufuku ziara za shule, sherehe za kuaga wanaomaliza
Kulingana na ripoti iliyotolewa na Ismail Mulindwa, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, marufuku hiyo itadumu hadi mwisho wa muhula wa sasa
-
We framed Gachagua in Sh7.3bn graft case, detective tells court
Detectives at the Directorate of Criminal Investigations (DCI) were forced to charge deputy president Rigathi Gachagua over the Sh7.3 billion corruption case, a senior police officer has disclosed. It has also emerged that at the time…
-

Tanzania yaanza mgao wa maji kutokana na ukame
Wakazi milioni 5.5 watakwenda bila maji ya bomba kwa saa 24 kwa siku mbadala, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema.







