East Africa
-

Tanesco yasitisha kuzima mifumo ya Luku
Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo Jumatano na Meneja Mwandamizi wa Tehama wa shirika hilo, Cliff Maregeli alisema matengenezo hayo ya siku nne yalikuwa yaanze Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa…
-

Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Agosti 16, 2022 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Jumanne Muliro imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Agosti 16, maeneo ya Kimara Suka.
-

Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi
Katika kesi hiyo ya mauaji namba 11/2022, washtakiwa 10 kati ya 24 ni madiwani, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Laizer na wakazi wengine.
-

Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania
Shirika la Umeme Tanzania limesema Wananchi nchini humo hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa muda wa siku nne, Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na…
-

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuelekea mahakamani
Sasa ni wazi kuwa mgombea wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga atarejea katika mahakama ya upeo mwaka huu baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kumtangaza William Ruto kama mshindi wa…
-

Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili
Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani humo, Urlich Matei amethibitisha kutokea tukio hilo akisema gari kubwa lililokuwa limebeba kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.
-

Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata
Katika miaka 30 ya utawala wa vyama vingi vya siasa, uchaguzi katika mamlaka ya Afrika Mashariki mara nyingi umekuwa na matokeo yenye utata na kusababisha ghasia mbaya, huku wapinzani wakishutumiana kwa udanganyifu na wizi wa…
-

Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempongeza rais mteule wa Kenya, William Ruto, kwa ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti.
-

Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara
Ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Agosti 15, 2022, wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika…
-

William Ruto declared 5th President of Kenya
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.







