East Africa
-

Makumi ya watu wauawa katika ghasia katika eneo linalozozaniwa la Sudan Kusini
OCHA imesema mapigano katika eneo lenye utajiri mkubwa wa mafuta la Abyei kwenye mpaka na Sudan yamesababisha vifo vya watu 36 kufikia Machi 6, huku idadi isiyojulikana wakijeruhiwa na wengine 50,000 wakiripotiwa kuhama makazi yao.
-

Tembo amuua Mmasai katika hifadhi ya wanyama ya Ngorongoro Tanzania
Mwanaume huyo wa Kimasai, 45, alifariki dunia papo hapo katika shambulio la tembo Jumatano wakati kundi la wakazi hao lilipokwenda kukusanya kuni
-

Wakazi 453 wakubali kuondoka kwa hiari hifadhi ya Ngorongoro
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari huku wengine wakiendelea kujiandikisha.
-

Kenya, Zimbabwe ink seven pacts to boost investments
“We affirmed the need for cooperation with bilateral commitment at global levels to deal with pandemics of this nature now and in the future. Both Zimbabwe and Kenya are committed to enhance cooperation towards mitigating…
-

Tanzania yaahidiwa kupewa Euro milioni 25 kutoka Serikali ya Ubelgiji
Serikali ya Ubelgiji imeahidi kuipatia Tanzania Euro milioni 25 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 62, kwa ajili ya kutekeleza program mpya ya maendeleo ya miaka mitano katika sekta ya elimu, inayotarajiwa kutekelezwa kuanzia mwaka…
-

Aliyepandikizwa moyo wa Nguruwe afariki
Machi 9,2022 hospitali hiyo ilitangaza kifo cha mtu huyo aliyefahamika kwa jina la David Bennett(57), ambapo katika taarifa yao ilieleza kuwa afya ya Bennett ilianza kudorora na kuwa mbaya siku kadhaa zilizopita.
-

Sababu za BOT kutonunua dhahabu zatajwa
Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dk. Doto Biteko, amesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekwama kununua dhahabu kutokana na viwanda vya uchenjuaji madini nchini humo kutoanza kufanya kazi.
-

Hospitali Muhimbili yakana kuhusika na kusambaza video za Prof Jay akiwa ICU
Video hiyo iliyosambazwa mitandaoni inamuonesha msanii huyo akiwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum yaani ICU.
-

Diwani atuhumiwa kumshambulia mwananchi kwa kipigo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema tukio hilo limetokea Machi 3, 2022 majira ya saa 2 za asubuhi.
-

Auawa baada ya kushambuliwa na Tembo hifadhi ya Ngorongoro
Kamanda wa Polisi MKoa wa Arusha ACP Justine Masejo, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema kuwa limetokea Machi 9,2022 majira ya saa 7 mchana katika kijiji cha Alaitore huko Ngorongoro.







