Umoja wa Mataifa wataka M23 kuachilia uwanja wa ndege wa Goma
Mapigano makali kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kundi la wapiganaji laMarch 23 Movement (M23) yamesababisha athari mbaya kwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Goma