Mtangazaji nguli wa Kenya Leonard Mambo Mbotela amefariki
Tukio lililoandikisha historia katika maisha yake ni jaribio la mapinduzi ya mwaka 1982 ambapo baadhi ya wanajeshi wakati huo walitaka kumuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa wakati huo Danie Arap Moi.