Kesi ya binti aliyebakwa yamng’oa RPC Dodoma, ni baada ya kudai aliyebakwa ni kama “Kahaba”
Uhamisho wa RPC Mallya umekuja saa chache baada ya kauli yake juu ya binti aleyebakwa na kulawitiwa na vijana watano wanaodaiwa kutumwa na afande kufanya tukio hilo.