Tanzania
-

Shahidi Akiri Kutojua Sheria Inayoeleza Kuzuia Uchaguzi ni Kosa
Shahidi huyo alisisitiza kuwa kwa ufahamu wake kuzuia uchaguzi ni kosa.Aidha, alipoulizwa kuhusu shtaka la Uhaini linalomkabili Lissu, shahidi alisema anafahamu Lissu anashtakiwa kwa Uhaini lakini alikiri hafahamu vipengele vyote vya shtaka hilo zaidi ya…
-

Shahidi: Kuzuia Uchaguzi ni Kosa Ndio Maana Tulikamatwa
Shahidi huyo mkazi wa Arusha mwenye umri wa miaka 26 amekiri kutokuwepo kwa baadhi ya maelezo ya ushahidi wake ambapo katika ushahidi aliousema Mahakamani leo, baadhi ya maelezo hakuandika katika maelezo yake ya Polisi.
-

Shahidi wa 10 wa Jamhuri Aeleza Sababu za Kutoa Ushahidi Wenye Kizimba cha Siri
Shahidi wa 10 wa Jamhuri ameieleza Mahakama sababu zilizomfanya kutoa ushahidi wake akiwa kwenye kizimba cha siri, akidai kuwa anahofia usalama wa maisha yake.
-

Lissu Atumia PGO Kumuhoji Shahidi wa Jamhuri
Shahidi alidai kuwa Aprili 3, 2025 alikuwa katika doria jijini Arusha akiwa na askari wengine wanane, wakitumia gari aina ya Toyota. Wakiwa doria, alipokea maelekezo kupitia *radio call* kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Upelelezi Mkoa…
-

Shahidi Aeleza Hotubu Ya Lissu Ilivyomshawishi Kuunga Mkono Agenda Ya “No Reform No Election”
Shahidi alidai kauli hiyo ilimpa hamasa ya kuwahamasisha vijana wenzake wa mtaani zoezi ambalo alilifanya Aprili 8, 2025 katika eneo la Njoro maarufu Pepsi.Hata hivyo wakati akiendelea na zoezi hilo kuwahamasisha ghafla alikamatwa na Polisi…
-

Shahidi aeleza hotubu ya Lissu ilivyomshawishi kuunga mkono agenda ya “No Reform No Election”
Shahidi huyo alipoulizwa namna alivyobadilika kutoka kuwa mtuhumiwa wa kupanga maandamano yasiyo na kibali hadi kuwa shahidi katika kesi ya uhaini, P6 alijibu kuwa hafahamu.
-

Shahidi wa Siri P5 Asimulia Video ya Lissu Ilivyompa Hofu
Shahidi huyo, mwenye umri wa miaka 33 na mkazi wa Kibangu, wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam, aliiambia Mahakama kuwa anajishughulisha na biashara ndogondogo ya kuuza viatu na soksi katika maeneo ya Mchikichini, Feri na…
-

Mahakama Yakataa Matumizi ya Kizimba cha Siri Hadi Kirekebishwe
Lissu alipinga muundo wa kizimba hicho akieleza kuwa kinazuia hata majaji kumuona shahidi na kufuatilia mienendo na tabia zake wakati wa kutoa ushahidi, jambo alilodai linakiuka kanuni ya tatu ya ulinzi wa mashahidi.
-

Tundu Lissu supporters flood a packed court as his treason case resumes
The case has been postponed to Wednesday, 11th 2026.
-

Mahakama Kutoa Uamuzi Mdogo Mapingamizi Ya Lissu Februari 11
Tundu Lissu alisisitiza kuwa kizimba kilichotumika hakiwezi kutambuliwa kama kizimba cha mashahidi kwa mujibu wa kanuni na tafsiri ya kisheria. Alidai kuwa kizimba hicho hakionekani na waheshimiwa majaji, hali ambayo kwa mtazamo wake inakiuka misingi…







