Tanzania
-

Lissu Aelezea Dhulma Anayodai Kufanyiwa Na Maafisa Wa Magereza
Lissu alieleza kuwa haki yake ya kuwasiliana na mawakili wake imekuwa ikikiukwa kwa muda mrefu, akidai kuwa maafisa wa magereza wamekuwa wakisikiliza mazungumzo yake na mawakili wake kinyume na sheria.
-

Tanzania families still looking for bodies 3 months after protests
Manenos Selanyika could only receive a symbolic burial. His family never found his body after the violent unrest of Tanzania’s election three months ago.
-

Kenya yaepuka sitisho la viza za uhamiaji Marekani, Tanzania na Uganda zatajwa
Maafisa wa Marekani wanasema hatua hiyo inalenga kufanya upya ukaguzi wa taratibu za kuchuja na kuchunguza waombaji, wakisisitiza kuwa wahamiaji wapya wanapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea kifedha na kutoegemea msaada wa serikali
-

Ni nini hatma ya kesi ya Lissu?
Tundu Lissu ni mwanasiasa mkongwe wa upinzani na mmoja wa wakosoaji wakuu wa sera na utendaji wa serikali nchini Tanzania, anakabiliwa na mashtaka ya Uhaini ambayo anadaiwa kuyatenda mnamo mwezi Aprili 2025. Kesi yake imeibua…
-

Mahakama Yakataa Ombi la Kufuta Kesi ya Kambi ya Kifahari ya Ritz-Carlton Maasai Mara
Kesi hiyo ilifunguliwa mwezi Agosti na mwanaharakati wa mazingira Meitamei Ole Dapash, aliyepinga kufunguliwa kwa kambi hiyo akidai imejengwa katika eneo muhimu la kupitisha wanyamapori kati ya Hifadhi ya Maasai Mara nchini Kenya na Hifadhi…
-

Ritz-Carlton Maasai Mara Legal Battle Continues After Court Rejects Withdrawal
The case was filed in August by environmentalist Meitamei Ole Dapash, who challenged the opening of the luxury safari camp near the Kenya–Tanzania border.
-

Dkt Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua.
-

Waziri wa zamani nchini Tanzania Geofrey Mwambe ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za jinai
Taarifa ya polisi iliyotolewa leo, tarehe 12 Desemba 2025, imeeleza kuwa Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na baadaye Wizara ya Viwanda na Biashara alikamatwa wakati wa operesheni ya…
-

Tanzania Opposition Rejects Election Results, Calls for Fresh Poll
“The October 29 election is null and void and all results must be cancelled,” Heche said, adding that Tanzanians were denied a genuine chance to choose their leaders.







