Kampuni ya Kitanzania ilihamisha pesa kabla ya benki ya SVB kuporomoka
Kampuni za Kiafrika zinafuatilia kwa karibu kuona nini kitatokea baada ya kuporomoka kwa Benki ya Silicon Valley
All news and updates from Tanzania
Kampuni za Kiafrika zinafuatilia kwa karibu kuona nini kitatokea baada ya kuporomoka kwa Benki ya Silicon Valley
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, nchini Tanzania, Dk Stergomena Tax mtanzania huyo alikwenda nchini Urusi mwaka 2020 kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya biashara, lakini mwezi machi 2022 alipatikana na hatia ya uhalifu na kuhudukumiwa kifungo cha miaka 7.
Mpaka sasa watu 26 wameokolewa na wamekimbizwa hospitalini, jitihada za kuokoa abiria waliosalia zinaendelea
Jamii ya wahamaji wa Loliondo Wilaya ya Kaskazini ya Ngorongoro wameishutumu serikali kwa kujaribu kuwalazimisha kuondoka kwenye ardhi ya mababu zao ili kuandaa safari na uwindaji.
Moto huo ulianza tarehe 21 mwezi oktoba karibu na eneo la Karanga linalotumiwa sana na wanaokwea mlima huo.
“Ni muhimu wananchi wakaelewa kwamba maoni ya kikosi kazi sio amri kwa serikali kwamba ni lazima tukafanya kama ambavyo kikosi kazi kimesema”
The indigenous Maasai community lives in Ngorongoro reserve in northern Tanzania but face eviction as officials say their growing population is a threat to wildlife in the area.
Mwanamke huyo alikuwa amevalia fulana yake iliyoandikwa “PRESS”, hata hivyo alipigwa risasi licha ya kuvaa kizibao chenye alama hiyo ambayo ilidhaniwa itamlinda kama mwandishi wa habari katika maeneo yenye migogoro.
Balozi Mulamula amesema kwa miaka mingi sasa Tanzania inaamini katika kutafuta muafaka na maridhiano kwa kutumia njia ya diplomasia ili kumaliza migogoro.
Leo ni kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo ibada maalum imefanyika kwa ajili ya kumuombea.