Tanzania
-

Eight Dead in Suspected Marburg Outbreak in Tanzania: WHO
The WHO said Tuesday that a suspected outbreak of the deadly Marburg virus in Tanzania had killed eight people, warning that the risk of further spread in the country and region was “high”.
-

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania yatangaza uwepo wa kimbunga Dikeledi
Kwa sasa, kimbunga hicho hakiashirii uwezekano wa kusababisha athari za moja kwa moja hapa nchini. Hata hivyo, kutokana na ukaribu wa maeneo ambayo kimbunga “DIKELEDI” kipo sambamba na maeneo ya kusini mwa nchi yetu, upo…
-

Maria Sarungi: Serikali ya Tanzania iko nyuma juu ya kutekwa kwangu nchini Kenya
Tsehai alitekwa Jumapili wakati akitoka saluni kutengeneza nywele zake eneo la katikati ya Nairobi ambapo wanaume watatu walimvuta kutoka kwenye teksi yake na kumwingiza kwenye gari lao.
-

Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya
Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.
-

Polisi wakili kumshikilia Dk Slaa
Slaa alikamatwa jana usiku nyumbani kwake Mbweni na mpaka sasa Jeshi hilo halijaweka wazi tuhuma zinazomkabili mwanasiasa huyo.












