Tanzania
-

Tundu Lissu: ”Watu wasiojulikana wanapanga kunidhuru”
‘’Enyi watu wabaya mjulikanao kama watu wasiojulikana, nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama,’’ aliandika Tundu Lissu.
-

Lissu achukua fomu, Sativa amlipia
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam na kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi…
-

Lissu: Nawania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA
Ninapenda kuamini kwamba, ninyi wanachama wenzangu mnaamini nina sifa za kutosha za kugombea nafasi ya juu ya uongozi katika chama chetu
-

Tanzania Commemorates 63rd Anniversary of Tanganyika’s Independence
The day serves as a reminder of the sacrifices made for independence and the vision of leaders like Julius Nyerere, the first Prime Minister of Tanganyika, and the country’s aspirations for peace and prosperity.
-

Tanzania yaweka mikakati kabambe ya kutokomeza UKIMWI
Aidha, ametoa wito kwa vijana kujitambua, kujithamini na kutunza maisha yao kwa kujikinga na maambukizi mapya ya VVU kwa kuwa kasi ya maambukizi katika kundi la vijana bado inaonekana kuwa kubwa
-

‘Kidnapped’ Tanzania Oposition Member, Abdul Nondo, Found Beaten
Police said Nondo had managed to make his way back to his party headquarters late Sunday after being dumped by unknown assailants on the popular Coco Beach in commercial capital Dar es Salaam.
-

Polisi:Nondo alitelekezwa kwenye ufukwe wa Coco
Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 na msemaji wake, David Misime imeeleza baada ya kutelekezwa katika fukwe hizo, aliomba msaada wa bodaboda kumfikisha katika ofisi za chama chake Magomeni, Dar es…









