Utata kamatakamata ya viongozi wa Chadema nchini Tanzania
Jeshi la Polisi nchini Tanzania linawashikilia viongozi wakuu wa chama cha upinzani cha Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, aliyekuwa mgombea urais Tundu Lissu, na kuwakusanya mamia ya wafuasi wa vijana wa chama hicho