Tanzania
-

LHRC yalaani tukio la kutekwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania(LHRC) kimitaka vyombo vya ulinzi na usalama na mamlaka za kisheria kuhakikisha vinafuata sheria pindi vinapomkamata mtu au watu ikiwemo kuwafikisha Mahakamani ndani ya muda unaokubalika kisheria.
-

UN yaitaka Tanzania kuchukua hatua za haraka kukabiliana na ukiukwaji wa haki za binadamu kabla ya uchaguzi
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Tanzania kuacha kuendelea na ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, watu…
-

Majaliwa:Tunajiandaa kurusha satelaiti
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti.
-

CHADEMA Katavi Yalia Na TAMISEMI Kupuuza Malalamiko Zoezi La Uandikishwaji
katika vituo mbalimbali changamoto kuu ni kutokuwepo kwa hamasa kubwa ya wananchi kujiandikisha pamoja na kuhamishwa kwa daftari la uandikishaji
-

Human Rights Watch Calls out Tanzania authority for arbitrary arrests ahead of Elections
According to Human Rights Watch, Since June the authorities have arbitrarily arrested hundreds of opposition supporters, imposed restrictions on social media access, banned independent media, and have been implicated in the abduction and extrajudicial killing…
-

What You Didn’t Know About Mwalimu Julius Nyerere
Julius Nyerere, also known as Mwalimu (Swahili for “teacher”), was the first President of Tanzania, serving from the country’s founding in 1964 until his retirement in 1985.
-

BASATA yapiga marufuku wimbo wa NITASEMA kupigwa kwenye vyombo vya Habari
Taarifa ya BASATA imeeleza kuwa wimbo huo uliotoka Septemba 24.2024 umekiuka kanuni ya 25, kifungu cha sita (6), vipengele C na D vya baraza hilo, ambapo imefafanuliwa kuwa baadhi ya maneno yaliyotumika kwenye ‘mistari’ ya…
-

LHRC condemns TCRA for filing a lawsuit against Jambo TV
This is due to the broadcast of content by Jambo TV which the Authority claims contained serious allegations of data infringement without giving the said company a right of reply.
-

LHRC yasikitishwa na hatua ya TCRA kufungua mashtaka dhidi ya Jambo TV
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 9 Oktoba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, inadai kuwa tarehe 1 Oktoba 2024, Jambo Online TV inadaiwa kurusha hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu, ambayo…







