Tanzania
-

Lawrence Mafuru afariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Nyasebwa Mafuru, amefariki dunia leo Novemba 9,2024 katika Hospitali ya Apollo nchini India.
-

CCM yataka haki uchaguzi serikali za mitaa, yasema hawahitaji upendeleo
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa,…
-

Tamisemi yawataka wagombea wasioridhishwa na uteuzi wakaweke pingamizi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi…
-

Tanzania mbioni kuzalisha madini ya Niobium
Madini ya Niobium hutumika katika mitambo ya uchorongaji katika utafiti na uchakataji wa mafuta, gesi pamoja na utengenezaji wa magari.
-

Aliyemtishia bastola mwenzake kwenye Club akamatwa na polisi Dar
Taarifa ya Polisi imekuja siku moja baada ya tukio hilo kusambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha picha ya mjongeo ambayo inamuonyesha mwanaume mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Derick Derick Junior akimpiga mwanaume mwengine hadi…
-

Majaliwa:Watanzania tulinde utamaduni wetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wahakikishe wanalinda utamaduni na kujenga misingi ya kuhamasisha vijana na vizazi vijavyo kutambua na kuenzi historia na urithi wa Mtanzania.
-

Dar kurejeshewa hadhi yake ya kuwa jiji
Februari 24, 2021, aliyekuwa Rais wakati huo Hayati John Magufuli alitangaza kulivunja jiji la Dar es salaam na kupandisha moja kati ya manispaa zake kuwa jiji. Raisi Magufuli alitangaza uamuzi huo wakati wa uzinduzi wa…
-

Tamisemi:Watanzania zaidi ya milioni 31 wamejiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura
Akitoa taarifa hiyo mbele ya vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 21,2024, Waziri Mchengerwa amesema kati ya Watanzania waliojiandikisha, wanaume ni milioni 15,236,772 Sawa na asilimia 48.71 huku wanawake wakiwa milioni 16,045,559…








