Tanzania
-

Masaibu ya wamaasai Ngorongoro yanazidi
Askari wa wanyama pori kutoka mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro siku ya jumanne waliingilia kikao cha wananchi wa Endulen tarafa ya Ngorongoro. kwa mujibu wakazi , tukio hilo ni kujaribu kuwazuia wananchi kupaza sauti zao…
-

Polisi Watia Mbaroni Wanne Kwa Kushiriki Ubakaji Wa Binti
Jeshi la Polisi limetangaza kuwakamata Watuhumiwa Wanne kati ya 6 waliopanga na kutekeleza Ukatili wa Kingono dhidi ya binti aliyeonekana katika Video iliyosambazwa Mitandaoni hivi karibuni Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, waliokamatwa ni Clinton…
-

Kikao Kamati Kuu Chadema yazua gumzo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kikako cha kamati kuu cha chama hicho leo tarehe 08 August,2024 katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Jijini Dar es Salaam. Hata hivyo kumekuwa na taarifa…
-

Mwabukusi, Mashirika Ya kijamii wataka Waliombaka Msichana kukamatwa
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi ameanza kazi kwa kujitosa katika sakata la msichana kubakwa kwa zamu na wanaume watano. Video hiyo iliyoanza kusambaa katika mitandao ya kijamii jana Agosti 4, 2024 ikidaiwa…
-

Vita ya Mpina, Bashe, Spika Tulia yazidi kukolea, afungua kesi tatu kuwashtaki
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza baada ya mawakili wake kueleza msingi wa kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, amesema kuwa zaidi ya mawakili 100 wameahidi kumuunga mkono katika kesi alizozifungua.












