Tanzania
-

Kada wa Chadema aliyetoweka na kukutwa polisi apandishwa kizimbani kimya kimya na kusomewa mashtaka matatu
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya kesi namba 19759/2024, Kombo ameshtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni pamoja na kushindwa kutoa taarifa za kutosha za akaunti ya kadi yake ya simu, kinyume cha kifungu 126…
-

Nape aomba radhi kufuatia kauli yake ya CCM kushinda uchaguzi kwa njia haramu
Nape ameomba radhi leo ikiwa tayari kumekuwa na gumzo na sintofahamu iliyojaa mjadala wenye hisia mseto kufuatia kauli yake hiyo iliyozagaa mitandaoni tangu Julai 15,2024.
-

Tanzania, Marekani kuongeza nguvu ya pamoja kukabiliana na ugonjwa wa Saratani
Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, Vifaa Tiba hususani vya kutoa huduma za Mionzi, Takwimu, Tafiti pamoja na Ubunifu ili kuwezesha wananchi wa Afrika kupata huduma bora za…
-

Fukuto ndani ya TLS lazidi kuongezeka, Mawakili waamua kuishtaki
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Steven Kitale amefungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza mnamo…
-

Amng’oa meno mkewe kisa shilingi 200
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma, Musa Abdallah kwa tuhuma za kumn’goa meno matatu mke wake kwa kutumia Praizi kwa kile kilichoelezwa ni ugomvi wa Sh. 200.
-

Aliyekuwa RC Simiyu apandishwa kizimbani kujibu shtaka la kumlawiti mwanafunzi wa chuo
Mshitakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha…
-

Sarakasi kuelekea uchaguzi wa TLS na kuondolewa kwa Mwabukusi
Uchaguzi wa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), umekuwa na sarakasi zilizoibua wadau wa sheria nchini kufuatia kuondolewa kwa jina la miongoni mwa wagombea wa nafasi hiyo Wakili Boniface Mwabukusi jambo linalodaiwa kuwa kuna…
-

Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom anayoituhumu kuhusu kutekwa kwake kusikilizwa leo
Katika kesi hiyo Kabendera anaoimba mahakama hiyo iiamuru kampuni hiyo imlipe fidia ya Dola za Marekani 10 milioni ambazo ni sawa na shilingi bilioni 28, akiituhumu kuwa ndio iliyofanikishwa kukamatwa kwake na askari Polisi, tukio…
-

Alieychoma picha ya Rais Samia atoka gerezani.
Kijana Shadrack Chaula amelipa fedha hizo baada ya kuchangwa na wanaharakati na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini.
-

Samia amtaka Waziri kumpatia ripoti ya Kariakoo kila baada ya miezi mitatu
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kwenda ‘kushinda’ Kariakoo badala ya kukaa ofisini ili kushughulikia changamoto za wafanyabiashara wa eneo hilo pamoja na nchi nzima kisha kumpatia ripoti kila…







