Tanzania
-

ACT Wazalendo waionya Serikali kufungia mtandao wa X(Twitter)
Akiongea Jijini Dar es salaam leo June 12,2024, Waziri Kivuli wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa ACT Wazalendo, Rahma Mwita amesema Serikali ya CCM imekuwa na utamaduni wa kutovumilia maoni, mitazamo na fikra…
-

Bei ya Petroli yashuka kiduchu
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei…
-

Mchango wa kununua gari jipya la Lissu wafikia milioni 24.9
Kupitia ukurasa wa X Lissu alithibitisha kupokea kiasi hicho cha fedha na kuomba wadau waendelee kumchangia apate gari hilo “kwa ajili ya harakati za ukombozi”.
-

Tanzania kuwa mwenyeji maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika.
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC-AU) yatakayofanyika kesho Mei 25, 2024 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini…
-

Tanzanians Launch Massive Online Fund Drive to Buy Tundu Lissu New Vehicle
To date, no one has been arrested, charged, prosecuted, or convicted. Lissu’s attackers remain ‘’unknown’’.
-

Baba, 65, Atupwa Miaka 30 Jela Kwa Kosa La Ubakaji Songwe.
Mahakama ya Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 30 Simon Salati Mwakasula (65) Mkazi wa Saza Wilaya ya Songwe baada ya kumkuta na hatia ya kosa la kumnajisi mwanafunzi wa darasa la…
-

Tanzania inaendelea kutaabika kupata huduma ya Internet
Mpaka hivi leo bado huduma ya mtandao maarufu kwa kimombo Internet haiko sawasawa na Serikali ya Tanzania kupitia Msemaji wake imesema bado haijajua ni lini huduma hiyo itarejea kwa uhakika.
-

Ripoti ya mkaguzi mkuu wa Hesabu Zanzibar yaonesha dosari kwenye matumizi ya umma
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
-

Polisi yahimiza ushirikiano na wafanyabiashara kuzuia uhalifu
Kamanda Issango amesisitiza wafanyabiashara hao kufanya kazi kidigitali kwa kuhakikisha wanafunga kamera za usalama (CCTV) kwenye maduka yao
-

CHADEMA Mbeya waendelea kuandaa wagombea serikali za mitaa 2024
Lengesela pamoja na kamati yake wamefanya ziara katika Kata ya Ilungu ili kukagua uhai wa Chama pamoja na maandalizi katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa baadaye mwaka huu (2024)







