Tanzania
-

Raila Akatiza Kampeni zake za Uenyekiti AU Kutetea Madaktari Wanaogoma Kenya
Kiongozi huyo wa ODM ameitaka Serikali kuwalipa wahudumu wa matibabu, kuangalia ada na mishahara ya madaktari wanaoendelea na masomo zaidi na kushughulikia kusitishwa kwa huduma zao bila utaratibu.
-

Kamatakamata Tanzania; Mwimbaji akamatwa Kwa Kuimba Wimbo Wenye Lugha ya ‘Uchochezi’
Mwakilima anasema ni haki ya kila mtu kutoa maoni juu ya nchi yake bila kuvunja sheria za nchi na kwamba.
-

Tanzania Yakanusha Tuhuma Ya kutoroshwa kwa Wanyamapori Hadi Umoja wa Falme Za Kiarabu
kulikuwa na uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wanyama pori wanasafirishwa kisiri siri kupitia ndege za mizigo kutoka Loliondo wilaya ya Ngorongoro karibu na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, hadi Umoja wa Falme…
-

#TANZANIA: Barabara ya Nyerere ya Dar es Salaam kufungwa kwa miezi mitatu
Barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, na itafunguliwa tena Septemba 30, 2023, ujenzi utakapokamilika
-

Kampuni ya Kitanzania ilihamisha pesa kabla ya benki ya SVB kuporomoka
Kampuni za Kiafrika zinafuatilia kwa karibu kuona nini kitatokea baada ya kuporomoka kwa Benki ya Silicon Valley
-

Mwili wa Mtanzania aliyefia Ukraine kurudishwa Tanzania kwa ajili ya maziko
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, nchini Tanzania, Dk Stergomena Tax mtanzania huyo alikwenda nchini Urusi mwaka 2020 kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika fani…
-

Ndege ya Precision Air yapata ajali Tanzania
Mpaka sasa watu 26 wameokolewa na wamekimbizwa hospitalini, jitihada za kuokoa abiria waliosalia zinaendelea
-

Wamaasai Tanzania wasilisha kesi mahakamani kuhusu eneo la ulinzi la wanyamapori
Jamii ya wahamaji wa Loliondo Wilaya ya Kaskazini ya Ngorongoro wameishutumu serikali kwa kujaribu kuwalazimisha kuondoka kwenye ardhi ya mababu zao ili kuandaa safari na uwindaji.
-

Tanzania yatuma wanajeshi kuzima moto mlima Kilimanjaro
Moto huo ulianza tarehe 21 mwezi oktoba karibu na eneo la Karanga linalotumiwa sana na wanaokwea mlima huo.
-

TANZANIA: Rais Samia apokea ripoti ya Kikosi Kazi
“Ni muhimu wananchi wakaelewa kwamba maoni ya kikosi kazi sio amri kwa serikali kwamba ni lazima tukafanya kama ambavyo kikosi kazi kimesema”







