Tanzania
-

Mbowe na wenzake kuanza kujitetea kesho.
Mahakama hiyo Februari 18,2022 iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na wenzake katika kesi ya ugaidi inayowakabili, hatua ambayo ilikuja baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake kwa kuwaita mahakamani mashahidi 13 kati ya…
-

Geita wataka V8 yao irudishwe
Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8, lilichukuliwa na Tamisemi mwishoni mwa mwaka 2020 kufuatia malalamiko ya Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa bei ya Sh400 milion bila ridhaa…
-

Askofu Niwemugizi amsihi Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
-

Tanzania opens grain stores in DRC, South Sudan to sell surplus harvest
“We believe access to markets motivates farmers to increase production.”
-

Shahidi akana kuona mpango wa Mbowe kupanga njama za Ugaidi
Shahidi huyo ambaye ni Askari Polisi amesema uchunguzi wake haukuona ujumbe wenye viashiria vya moja kwa moja vya mpango wa kutekeleza makosa ya ugaidi.
-

Rais Samia akerwa na wanaovujisha siri za Serikali
Asema suala la kutunza siri za Serikali limekuwa ni kama maradhi
-

TAMISEMI yatoa mchanganuo wa fedha zilizotolewa na IMF
Wizara ya TAMISEMI, imeidhinishiwa kiasi cha shilingi bilioni 535.6, sawa na asilimia 41.1 ya fedha zote kati ya shilingi Trillion 1.9, fedha ambazo zimetolewa na Shirika la Fedha Duniani IMF, kwa ajili ya kukabliana na…
-

UKATILI WA POLISI NAMANGA
Mfanyabiashara Isaya Mnuo amesema alikamatwa na Askari sita kwa kudadi alikua na bunda la mirungi akitafuna na kumpiga Hadi kusababishia uvimbe Katika mguu wake.









