Tanzania
-

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kamati ya kitaifa ya AFCON 2027
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo…
-

Waziri wa mambo ya ndani Tanzania ashangazwa na watu kuhusisha siasa na utekaji unaoendelea nchini humo.
Waziri Masauni ametoa kauli hiyo leo katika uzinduzi wa kitabu cha Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi huku akishangazwa na namna ambavyo siasa imekuwa ikitumika katika matukio hayo kwa kuyahusisha na vyombo vya dola…
-

Jaji Mkuu aonya vitendo vya utovu wa maadili kwa mawakili
Prof. Juma ametoa wito huo leo tarehe 3 Julai, 2024 baada ya kuwakubali na kuwapokea Mawakili wa Kujitegemea 555 kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
-

Mgomo wa Wafanyabiashara Tanzania ngoma bado nzito
Wafanyabiashara wanaitaka Serikali kupunguza kodi, kuwawekea mazingira mazuri ya biashara lakini pia kuwekwa kwa mifumo mizuri ya ukusanyaji kodi tofauti na inavyofanywa hivi sasa.
-

Bajeti ya Tanzania kupigiwa kura leo
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.
-

Ummy: Acheni matumizi holela ya dawa kuepuka usugu wa vimelea dhidi ya dawa
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuacha matumizi holela holela ya Dawa ili kuepuka usugu wa vimelea dhidi ya dawa hususani za antibaotik kushindwa kufanya kazi ipasavyo na kugharimu maisha na nguvu kazi ya…
-

Hichi ndicho kilichomponza Luhaga Mpina hadi kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili.
Jana Juni 18, 2024 Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson, alilitangazia bunge na kutoa amri chini ya mamlaka aliyonayo ya kumfikisha mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge mbunge wa Kisesa, Luhaga…
-

Tanzania yafanya uzinduzi wa ujenzi wa mejengo pacha ya ghorofa 22 nchini Kenya
Serikali imezindua ujenzi wa majengo pacha ya ghorofa 22 kila moja jijini Nairobi, Kenya, yatakayotumika kama Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi kwa ajili ya kuongeza fedha za kigeni.
-

Kesi ya mauaji ya Mawazo wa CHADEMA kusikilizwa leo
Kesi hiyo imeanza kusikilizwa upya baada ya Mahakama ya Rufani iliyoketi Mwanza mbele ya majaji watatu, Ferdinand Wambali, Issa Maige na Leila Mgonya kutengua hukumu ya kesi hiyo na kuamuru ianze kusikilizwa upya, baada ya…








