Avatar: The Way of Water, kuanza kuoneshwa kwenye huduma za kustream
Filamu ya Avatar 2 inashika nafasi ya nne kimataifa kwa filamu zilizopata mapato ya juu zaidi katika historia baada ya “Avatar1” (dola bilioni 2.92), “Avengers: Endgame” ($2.7 bilioni) na “Titanic” ($2.19 bilioni)