Viongozi wa ECOWAS waiondolea Mali vikwazo
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
Polisi wa Nigeria wamewaokoa makumi ya watu, wakiwemo watoto, kutoka kwenye chumba cha chini cha kanisa ambako walikuwa wameambiwa wangojee kile walichoamini kungekuwa ujio wa pili wa Kristo
Wasudan waandamana kupinga unyakuzi wa kijeshi ulioongozwa na mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan Oktoba mwaka jana.
Mwimbaji na mcheza saxophone huyo alikuwa amepangwa kucheza siku ya Jumamosi katika tamasha la Jazzablanca katika jiji la bandari la Morocco la Casablanca.
Kenya imetoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za binadamu ikiwa ni pamoja na ya UVIKO -19.
Wafanyakazi wa China wanaofanya kazi kwenye migodi na miradi mikubwa ya miundombinu katika maeneo ya mbali mara nyingi hulengwa kwa utekaji nyara,
Amenufaika kutokana na taarifa potofu kwenye mitandao ya kijamii zinazowalenga wapiga kura wengi vijana ambao hawana kumbukumbu ya ufisadi, mauaji na dhuluma nyinginezo zilizofanywa wakati wa utawala wa miaka 20 wa mzee Marcos.
Emmanuel Ibrahim Rotich alikamatwa baada ya msako mkali wa usiku wa manane siku moja baada ya mwili wa Tirop kupatikana ukiwa na majeraha ya kuchomwa kisu, na amekuwa kizuizini tangu wakati huo.
Mwimbaji wa RnB kutoka Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kutumia hadhi yake kuendesha mpango wa kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake.
Mvutano umekuwa ukiongezeka katika nchi hiyo kabla ya upigaji kura wa wabunge wa Julai 31, unaoonekana kuwa uchaguzi muhimu kwa Rais Macky Sall.