Senegal: Mahakama yamhukumu mbunge wa upinzani kwa kuendelea na maandamano yaliyopigwa marufuku
Mahakama ya Senegal Jumanne ilimkabidhi mbunge wa upinzani kifungo cha miezi sita jela kwa kukaidi marufuku iliyowekwa kwa maandamano wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa wabunge