Mfalme wa Ubelgiji akamilisha ziara yake DR Congo
Ziara ya Mflame Philippe nchini DR Congo ilikuwa ya kwanza tangu kutawazwa mwaka wa 2013
Ziara ya Mflame Philippe nchini DR Congo ilikuwa ya kwanza tangu kutawazwa mwaka wa 2013
Meli hiyo ya mifugo ilikuwa ikisafirisha wanyama hao kutoka Sudan hadi Saudi Arabia ilipozama
Papa Francis ataahirisha safari yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini kutokana na tatizo la goti, Vatican ilisema
Mashirika ya misaada yameonya kuhusu njaa huku visa vya utapiamlo miongoni mwa watoto vikiongezeka katika taifa hilo la Pembe ya Afrika
Katika miezi ya hivi karibuni, wameshambulia treni ya abiria kati ya mji mkuu wa Abuja na mji wa Kaduna na kuwateka nyara makumi ya watu na kuua zaidi ya wanavijiji 100
Watu 15 wameuawa na 37 kujeruhiwa Ijumaa wakati basi na lori lilipogongana kwenye barabara kuu ya Afrika Kusini karibu na mji mkuu Pretoria
Takriban wapiga kura nusu milioni zaidi walipatikana kuwa wamejisajili mara mbili na zaidi ya watu 226,000 walisajiliwa kwa kutumia stakabadhi ambazo si zao.
Wizara ya afya ya umma ilitangaza Februari kwamba bangi itaondolewa kwenye orodha ya mihadarati iliyopigwa marufuku, sheria hizo zilianza kutekelezwa Alhamisi.
Machafuko ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009, kulingana na UN.
Mvua ilipokosa kunyesha kwa msimu wa nne mfululizo mwezi uliopita, mashirika ya misaada ya UN walionya kuwa njaa huenda ikakumba nchi za Somalia, Kenya na Ethiopia