Features
-

Viongozi wa Afrika Mashariki kukutana Jumatatu kujadili mzozo wa DR Congo
Viongozi wa mataifa saba yanayojumuisha muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana Jumatatu kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-

Senegal: Polisi wazingira nyumba ya kiongozi wa upinzani nchi inapojiandaa kwa uchaguzi
Polisi wa Senegal waliziba njia ya kuelekea nyumbani kwake kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko baada yake kuitisha maandamano siku ya Ijumaa, wakati nchi hiyo ikiwa katika mvutano wa kabla ya uchaguzi.
-

Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu DR Congo inasema waasi wa M23 wanapanga kuuteka mji muhimu
Wataalamu huru wanaoripoti kwa Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo walisema Ijumaa kuwa waasi wa M23 wanapanga kuuteka mji wa mashariki wa Goma, DR Congo
-

Morocco: Bei ya mafuta yapanda na kufikia viwango vya juu zaidi
Bei ya mafuta ya petroli ilipanda na kufikia kiwango cha juu zaidi nchini Morocco na kuzua hasira miongoni mwa vyama vya wafanyakazi
-

Mgombea wa Upinzani Nigeria amteua mgombea mwenza katika uchaguzi wa 2023
Abubakar, mgombea wa chama cha Peoples Democratic Party (PDP) anawania kiti cha urais kwa mara ya sita na atakuwa anakabiliana na mgombea wa chama tawala na gavana wa zamani wa Lagos Bola Tinubu
-

Tanzania yaanza kuwahamisha Wamasai kutoka katika hifadhi ya Ngorongoro
Jamii ya wamasai imeishi katika hifadhi hiyo, eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO kaskazini mwa Tanzania, kwa zaidi ya karne moja.
-

EU yatia saini mkataba wa gesi na Misri na Israel kukomesha utegemezi kwa Urusi
Israel na Misri zinapanga kuongeza mauzo ya gesi barani Ulaya chini ya makubaliano yaliyotiwa saini wakati wa ziara ya Jumatano ya rais wa Kamisheni ya Ulaya
-

Utapiamlo wa watoto waongezeka nchini Ethiopia huku ukame ukizidi kuwa mbaya
Misimu minne mfululizo ya mvua haikunyesha katika eneo la Pembe ya Afrika, huku ya tano ikitarajiwa pia kuwa mbaya, na kusababisha ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40 na mzozo mkubwa wa…









