Thailand, nchi ya kwanza ya Asia kuhalalisha bangi
Wizara ya afya ya umma ilitangaza Februari kwamba bangi itaondolewa kwenye orodha ya mihadarati iliyopigwa marufuku, sheria hizo zilianza kutekelezwa Alhamisi.
Wizara ya afya ya umma ilitangaza Februari kwamba bangi itaondolewa kwenye orodha ya mihadarati iliyopigwa marufuku, sheria hizo zilianza kutekelezwa Alhamisi.
Machafuko ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009, kulingana na UN.
Mvua ilipokosa kunyesha kwa msimu wa nne mfululizo mwezi uliopita, mashirika ya misaada ya UN walionya kuwa njaa huenda ikakumba nchi za Somalia, Kenya na Ethiopia
Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i alisisitiza msimamo huo alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa warsha ya mikakati ya Kitaifa ya usalama wa mtandao 2022-2026.
Zaidi ya wajumbe 2,300 wa APC walipiga kura kumchagua mgombea atakayekabiliana na Atiku Abubakar wa chama cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) katika kura ya urais ya Februari 25 2023
Ununuzi wa shilingi bilioni 2.4 (dola 640,000) wa gari mbili za limousine kwa spika wa bunge na naibu wake umechochea hasira ya umma
Mfalme huyo atafanya ziara ya siku sita inadaiwa kuwa nafasi ya maridhiano baada ya ukatili uliofanywa chini ya utawala wa kikoloni wa Ubelgiji.
Wagombea wanne wameidhinishwa kushiriki kinyang’anyiro cha kuwa rais wa Kenya, akiwemo naibu wa rais wa sasa William Ruto na Raila Odinga.
Indonesia imemuita mjumbe wa India mjini Jakarta kuhusu matamshi ‘ya dharau’ yaliyotolewa kuhusu Mtume Muhammad na maafisa wawili wa chama tawala cha India
Mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga Jumatatu alizundua manifesto yake yenye ahadi 10, akiahidi kuinua uchumi ndani ya siku 100 za uongpzi wake kama Rais wa Kenya.