Waasi wawaua raia 50 nchini Burkina Faso
Burkina Faso imetikiswa na uvamizi wa wanajihadi tangu 2015, huku vuguvugu hilo likihusishwa na Al-Qaeda na kundi la Islamic State.
Burkina Faso imetikiswa na uvamizi wa wanajihadi tangu 2015, huku vuguvugu hilo likihusishwa na Al-Qaeda na kundi la Islamic State.
Rais wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya siku ya Alhamisi nchi hiyo ikiomboleza kifo cha watoto 11 katika moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme hospitalini
Rais Joe Biden ameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya George Floyd kwa kutia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi
Wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Safari Park jijini Nairobi, Uhuru na Ruto walikaa kwa utulivu kila mmoja akishiriki kwenye meza yake tofauti.
Moto huo ulioenea kwa kasi kwa saa kadhaa, ulizuka katika eneo la kushusha mizigo kwenye bandari siku ya Jumatano.
Takriban watu watatu wamekatwa vichwa kutokana na kuzuka upya kwa ghasia za Kiislamu kaskazini mwa Msumbiji, polisi walisema Jumatano. “Ijumaa…
Waandamanaji kutoka chama cha EFF Afrika Kusini waliandamana Jumatano hadi kwenye ubalozi wa Ufaransa mjini Pretoria kuitaka Ufaransa iondoke Afrika.
Mkasa huo ulitokea katika Hospitali ya Mame Abdou Aziz Sy Dabakh mjini Tivaouane, na ulisababishwa na hililafu ya umeme kulingana na mwanasiasa Diop Sy.
Mshambuliaji Salvador Ramos aliua watu 21 katika darasa moja
Wanamgambo wa M23 waliibuka kutoka kwa uasi wa Watutsi wa Congo mwaka wa 2013 ambao uliungwa mkono na nchi jirani za Rwanda na Uganda wakati huo.