Waziri wa afya wa Senegal afutwa kazi baada ya ajali ya moto hospitalini kusababisha vifo vya watoto wachanga 11
Rais wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya siku ya Alhamisi nchi hiyo ikiomboleza kifo cha watoto 11 katika moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme hospitalini