Features
-

DR Congo: Mapigano yasababisha watu 37,000 kutoroka makazi yao
Kulingana na NGOs, takriban watu 26,000 wamekimbia eneo la Rutshuru tangu Mei 22. Watu wengine 11,000 wamekimbia eneo la Nyiragongo
-

Wagombea wakuu wanaowania urais Nigeria
Nigeria itakwenda uchaguzini Februari 2023 kumchagua mrithi wa Rais Muhammadu Buhari ambaye ataondoka uongozini baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.
-

Waasi wawaua raia 50 nchini Burkina Faso
Burkina Faso imetikiswa na uvamizi wa wanajihadi tangu 2015, huku vuguvugu hilo likihusishwa na Al-Qaeda na kundi la Islamic State.
-

Waziri wa afya wa Senegal afutwa kazi baada ya ajali ya moto hospitalini kusababisha vifo vya watoto wachanga 11
Rais wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya siku ya Alhamisi nchi hiyo ikiomboleza kifo cha watoto 11 katika moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme hospitalini
-

Biden atia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kifo cha George Floyd
Rais Joe Biden ameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya George Floyd kwa kutia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi
-

Uhuru, Ruto wakaa mbali mbali katika mkutano wa maombi ya kitaifa
Wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Safari Park jijini Nairobi, Uhuru na Ruto walikaa kwa utulivu kila mmoja akishiriki kwenye meza yake tofauti.
-

Wazima moto wafaulu kudhibiti moto katika bandari ya Red Sea nchini Sudan
Moto huo ulioenea kwa kasi kwa saa kadhaa, ulizuka katika eneo la kushusha mizigo kwenye bandari siku ya Jumatano.
-

Takriban watu watatu wakatwa vichwa katika mashambulizi Msumbiji
Takriban watu watatu wamekatwa vichwa kutokana na kuzuka upya kwa ghasia za Kiislamu kaskazini mwa Msumbiji, polisi walisema Jumatano. “Ijumaa iliyopita, magaidi walivamia baadhi ya mashamba katika kijiji cha kwanza katika wilaya ya Macomia na…
-

“Ondoka barani Afrika,” waandamanaji mjini Pretoria waiambia Ufaransa
Waandamanaji kutoka chama cha EFF Afrika Kusini waliandamana Jumatano hadi kwenye ubalozi wa Ufaransa mjini Pretoria kuitaka Ufaransa iondoke Afrika.
-

Senegal: Watoto 11 wafariki katika ajali ya moto hospitalini
Mkasa huo ulitokea katika Hospitali ya Mame Abdou Aziz Sy Dabakh mjini Tivaouane, na ulisababishwa na hililafu ya umeme kulingana na mwanasiasa Diop Sy.







