Nigeria: Mlipuko katika kiwanda haramu cha mafuta chawaua takriban watu 110
Moto wa mabomba ya mafuta ni jambo la kawaida nchini Nigeria, kwa sababu ya wezi ambao huharibu mabomba ili kunyonya petroli na kuiuza kwenye soko haramu
Moto wa mabomba ya mafuta ni jambo la kawaida nchini Nigeria, kwa sababu ya wezi ambao huharibu mabomba ili kunyonya petroli na kuiuza kwenye soko haramu
Urusi ilipiga marufuku ya kusafiri kwa Makamu wa Rais wa Amerika Kamala Harris, mkuu wa Facebook Mark Zuckerberg na makumi ya Wamarekani mashuhuri na Wacanada kulipiza kisasi kwa vikwazo vilivyowekwa juu ya uvamazi wao nchini Ukraine.
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki, ambaye aliongoza Kenya kwa zaidi ya muongo mmoja amefariki dunia,
Raia wa China amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kuwatesa wafanyakazi wa mgodi nchini Rwanda
Takriban asilimia 90 ya visa vya malaria duniani vimerekodiwa barani Afrika, ambapo watoto 260,000 hufa kutokana na ugonjwa huo kila mwaka.
Ofisi ya rais wa Kenya ilisema Alhamisi kwamba viongozi hao walikuwa wakitafuta kuanzisha kikosi cha kikanda ili kukomesha makundi ya waasi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.
Google ni kati ya makampuni makubwa ya kiteknolojia yanayoanzisha vituo vya uvumbuzi jijini Nairobi.
Tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.7 lilitokea kwenye pwani ya magharibi ya Nicaragua siku ya Alhamisi,
Italia inataka kuongeza Angola na Congo-Brazzaville kwenye orodha ya mataifa wasambazaji wa gesi kuchukua nafasi ya Urusi, ambayo huisambazia Italia takriban asilimia 45 ya gesi
Taraba ni mojawapo ya majimbo kadhaa ya kaskazini yaliyoharibiwa na magenge ya wahalifu wa wezi wa mifugo wanaovamia vijiji, kuua wakazi na kupora nyumba pamoja na kuwateka nyara watu ili wadai fidia.