Zaidi ya watu 50 wauawa katika mashambulizi ya waasi nchini DR Congo
Licha ya kukabiliwa na jeshi la nchi hiyo — na usaidizi kutoka kwa vikosi vya Uganda, vilivyoanza kukabiliana na waasi mwishoni mwa Novemba – mashambulizi ya ADF yameendelea.
Licha ya kukabiliwa na jeshi la nchi hiyo — na usaidizi kutoka kwa vikosi vya Uganda, vilivyoanza kukabiliana na waasi mwishoni mwa Novemba – mashambulizi ya ADF yameendelea.
Tumuhimbise, ambaye anaongoza vuguvugu la The Alternative Movement na jukwaa la mtandaoni la Alternative Digitalk, alitarajiwa kuzindua kitabu cha kumkosoa Rais Yoweri Museveni mnamo Machi 30.
Vurugu hizo zilitokea mwishoni mwa mchezo wa Kombe la Throne Cup kati ya AS FAR, klabu ya Wanajeshi wa Morocco yenye makao yake mjini Rabat, na Maghreb de Fez (MAS).
Mashambulizi hayo yalifanyika karibu na mpaka wa majimbo ya Ituri na Kivu Kaskazini
Takriban wahamiaji 44, wakiwemo wanawake na watoto wachanga, walikufa maji wiki hii kwenye pwani ya Morocco walipokuwa wakijaribu kufika Uhispania
Licha ya kuwepo kwa vuguvugu la kupinga chanjo nchini humo, Vituo vya Amerika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) vinasema zaidi ya asilimia 80 ya watu wamechanjwa
Watu husafiri kwa treni za mizigo kinyume cha sheria mara kwa mara kwa sababu ya ukosefu wa treni za abiria na ugumu wa kusafiri kwa barabara.
Kimbunga Gombe kilipiga mkoa wa Nampula usiku wa Alhamisi-Ijumaa kikiambatana na upepo mkali — kilitabiriwa kufikia kilomita 160 kwa saa (100 mph)
Mapigano mapya yaliyozuka Alhamisi yameshuhudia makundi yenye silaha yakipigana katika milima ya Jebel Moon katika jimbo la Darfur Magharibi