Wanaotafuta hifadhi Uingereza kuwasili Rwanda katika wiki chache zijazo
makubaliano yanayoiwezesha Uingereza kutuma wahamiaji na wanaotafuta hifadhi Rwanda yamevutia ukosoaji mkali kutoka kwa makundi ya kutetea haki za binadamu, upinzani katika nchi zote mbili na hata Umoja wa Mataifa.