Urusi yashambulia ghala la silaha za Ukraine.
Imeshambulia ghala hilo kwa kutumia makombora ya masafa marefu yaliyorushwa kutoka baharini.
Imeshambulia ghala hilo kwa kutumia makombora ya masafa marefu yaliyorushwa kutoka baharini.
Kulingana na Shirika la Human Rights Watch, watu waliofanikiwa kuukimbia mji huo wameelezea hali mbaya walioiacha ikiwemo maiti kutapakaa barabarani na majengo yaliyoharibiwa.
Urusi ilikuwa imeipa Ukraine hadi saa kumi na moja alfajir ya leo kuwa imesalimu amri mjini Mariupol, lakini haikusema itafanya nini ikiwa Ukraine itakataa kuheshimu matakwa yake.
Women and children account some 90 percent of those who have fled.
“What’s happening now in Mariupol is a massive war crime, destroying everything, bombarding and killing everybody,” Josep Borrell said
Zaidi ya watu milioni 1 wengi wao kutoka Syria walifika ufuo wa Ulaya mwaka 2015, lakini hawakupewa hadhi ya ulinzi wa moja kwa moja.
Finland inajulikana kwa huduma zake za umma zinazofanya kazi vizuri, imani iliyoko katika mamlaka na viwango vya chini vya uhalifu na usawa kati ya jamii.
“Vita vya Ukraine vinamaanisha njaa barani Afrika,” Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Kristalina Georgieva alisema Jumapili.
Zaidi ya watu 2,000 wameuawa katika mji huo wa Mariupol kulingana na mamlaka ya Ukraine.
Kuhamishwa kwa ndovu hao hadi kwa hifadhi ya Kenya itagharimu pauni 950,000 (dola milioni 1.2), kulingana na Wakfu wa Aspinall, kikundi cha uhifadhi wa wanyama pori.