Lifestyle & Health
-

Ghana imeripoti visa vya kwanza vya virusi hatari vya Marburg
Hakuna matibabu au chanjo iliyopo kwa Marburg ,ugonjwa ambao ni hatari kama Ebola.
-

DR Congo yatangaza mwisho wa mlipuko wa hivi punde wa Ebola
Ebola ni homa ya virusi inayosababisha kuvuja damu ambayo iligunduliwa kwa mara ya kwanza Afrika ya kati mwaka wa 1976.
-

Kenya yatoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji
Kenya imetoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za binadamu ikiwa ni pamoja na ya UVIKO -19.
-

Kenya: Kundi la kwanza la wauguzi waliopata ajira Uingereza tayari kusafiri
Makubaliano kati ya Kenya na Uingereza kuhusu kuajiri wafanyikazi wa Afya yalitiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mnamo Januari 2021.
-

AU urges probe into deaths of Africans at Spain-Morocco border
At least 23 migrants died and 140 police officers were wounded in the ensuing violence, according to Moroccan authorities.
-

Afrika Kusini: Polisi wachunguza vifo vya vijana 21 waliouawa kwenye baa
Serikali ya mkoa wa Eastern Cape ilisema wasichana wanane na wavulana 13 walifariki kwenye tavern, katika eneo la makazi linaloitwa Scenery Park.
-

Afrika Kusini yarekodi kisa cha kwanza cha ugonjwa wa monkeypox
Shirika la Afya Duniani lilisema wiki iliyopita kwamba Ulaya imesalia kuwa kitovu cha mlipuko wa monkeypox duniani.
-

WHO: Uhaba wa wahudumu wa afya unakandamiza mifumo ya afya Afrika
Ni nchi nne pekee (Mauritius, Namibia, Seychelles na Afrika Kusini) zimetimiza uwiano wa mfanyakazi wa afya wa WHO kwa idadi ya watu.
-

Wazalishaji wa chanjo ya monkeypox, Bavarian Nordic tayari kukidhi mahitaji
chanjo dhidi ya ndui inaweza pia kutumika dhidi ya monkeypox, kabla na baada ya kuambukizwa virusi.
-

Wakenya wapo tayari kuuza figo kukabiliana na hali ngumu ya maisha
Hospitali kuu ya umma nchini Kenya inasema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanajitolea kuuza figo zao.







