Lifestyle & Health
-

Tanzania:Sampuli zilizochukuliwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Murburg
Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema mpaka January 15, 2025, majibu ya uchunguzi wa kimaabara kutoka kwa Wahisiwa wa Ugonjwa wa Marburg waliochukuliwa sampuli hizo hayajathibisha uwepo wa virusi hivyo.
-

Eight Dead in Suspected Marburg Outbreak in Tanzania: WHO
The WHO said Tuesday that a suspected outbreak of the deadly Marburg virus in Tanzania had killed eight people, warning that the risk of further spread in the country and region was “high”.
-

Sierra Leone Reports First Case of Mpox
Sierra Leone has reported its first confirmed case of mpox since the world’s highest alert level for the potentially deadly viral disease was raised last year.
-

Marekani Yaripoti Kifo Cha Kwanza Cha Binadamu Kutokana na Homa Ya Ndege
Mgonjwa huyo alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 65 na alikuwa na magonjwa mengine, na alikabiliwa na ugonjwa mbaya wa kupumua unaohusiana na maambukizi ya H5N1.
-

US Records Its First Human Death From Bird Flu
The patient, aged over 65, had been hospitalized in the southern state since at least mid-December, when the US Centers for Disease Control and Prevention (CDC) announced it as the country’s first serious case of…
-

Mijadala Kinzani Yatanda Kenya Kuhusu Chanjo Ya Mifugo
Kulingana na Rais Ruto, mpango huo unatazamia kuimarisha mazao ya wakulima ili kuendana na viwango vya kimataifa wakati wa kuuza bidhaa za nyama, maziwa na ngozi katika soko za kimataifa.
-

Watu 12 Waripotiwa Kufariki Dunia Kutokana na Sumu ya Gesi ya Monoxidi ya kaboni
Kulingana na ripoti kutoka kwa polisi, miili ya wageni 11 na raia mmoja wa Georgia iligunduliwa siku ya Jumamosi katika eneo la kulala juu ya mgahawa katika eneo la mapumziko la Gudauri, kaskazini mwa nchi…
-

Carbon Monoxide Suspected in 12 deaths at Georgia Ski Resort
The bodies of 11 foreigners and one Georgian national were discovered on Saturday in a sleeping area above a restaurant at a ski resort in Gudauri, in the north of the Caucasus country, police said.








